Novatus Dismas: Nimetimiza Ndoto ya Kucheza na Samatta Ulaya
BAADA ya kufanikiwa kulamba dili la kusajiliwa na Klabu ya Macabi Tel Aviv inayoshiriki Ligi Kuu Israel kiungo kinda aliyekulia Azam FC, Novatus Dismas amesema ndoto yake ya kucheza Ulaya na straika wa Taifa Stars na Fernabache Mbwana…
