YAJUE MADHARA YA KULA NYAMA KWA AFYA YAKO
LEO tutangalia madhara ya kula nyama… lakini kabla ya kuangalia madhara, kuna makundi makuu mawili ya nyama yaani nyama nyekundu na nyama nyeupe.
Nyama nyekundu ni ile ambayo ina rangi nyekundu…
