Rayvanny, Diamond, WCB Wapigwa Faini ya Tsh 9m na BASATA – Video
Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limewatoza faini Tsh milioni 9 wanamuziki Rayvanny, Diamond Platnumz na Lebo yao ya WCB, kwa kutoa wimbo Mwanza ikieleza kuwa una mashairi yanayokiuka maadili.
Katibu wa Baraza hilo, Godfrey…
