Tazama Video Mpya ya Kuhani Mtanzania Anayeishi Marekani
Mwimbaji wa muziki wa Injili ambaye ni Mtanzania anayeishi Marekani, Modeste Kuhani, ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao 'Hatujafika', ambao location yake imefanyika nchini Marekani na na Producer ni GM.
Tumekuwekea hapa…
