Ahukumiwa Jela Miaka Mitano kwa Kuvunja Nyumba na Kuiba Debe la Maharage
MAHAKAMA ya mwanzo ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe imemhukumu Ombeni Ngwa'vi (25) kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa la kuvunja nyumba ya Evaristo Mgimba pamoja na miaka mingine miwili kwa kuiba debe moja…
