Mke wa Afisa Mkuu Mtendaji wa OceanGate ni Kitukuu wa Abiria Wawili wa Titanic
Wendy Rush ni mke wa Stockton Rush, bosi wa OceanGate ambaye yuko kwenye nyambizi iliyotoweka baharibi ambayo inasakwa .
Yeye pia ni kitukuu wa Isidor na Ida Straus- abiria wawili waliokuwa kwenye meli ya Titanic ilipozama mwaka wa…
