Mchezaji Al Ahly Afariki Dunia kwa Sumu
MSHAMBULIAJI wa zamani wa vilabu vya Africa Sports, Esperance na Al Ahly, Oussou Konan amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 32 mjini kwao huko Ivory Coast.
Awali ilisemekana amefariki kwa ugonjwa tu, lakini ripoti zaidi zinasema…
