Oya masela…. hata kama umetoboa lakini unaboa!
Inakuwaje masela wangu wa ukwehe? Ndo kama hivo mazee nipo fiti yaani chuma kabisa, nimetokea hapa ubaoni kibabe kukisanua ama nene? Basi mzuksi kama vepe kanyaga twende chama langu.
Washkaji ishu za Simba na Yanga si ndo hivo…
