Exclusive: Pacome aumia kabla ya kuwavaa Waarabu, Avic Town kama msiba!
Imefahamika kuwa, kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Yanga raia wa Ivory Coast, Pacome Zouzoua aliumia mazoezini siku ya Ijumaa ikiwa ni siku moja kabla ya mchezo wao wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya CR Belouizdad ya…
