OLA Afunguka Kilichowapoteza Pah One
PAH One ni kundi la Muziki wa Bongo Fleva ambalo lilijipatia jina zaidi mwishoni mwa miaka ya 2000 ambalo linaundwa na watu watatu ambao ni ndugu wa damu, Ola, Ingwe na Tobanako na miongoni mwa kazi za mwanzo…
