Chelsea Yamfungia Kazi Kinda wa Brazil, Madrid na PSG Zapigana Vikumbo
KLABU ya Chelsea ya nchini Uingereza imeonesha nia ya dhati ya kuinasa Saini ya kinda wa Brazil kutoka katika klabu ya Palmeiras, Endrik huku ikikumbwa na upinzani mkubwa kutoka kwa klabu ya Real Madrid pamoja na Paris Saint Germain.…
