Aibu…Nd’aw aondoka Bongo na Sh milioni 3
straika Msenegali, Pape N’daw.
Nicodemus Jonas
na Wilbert Moland
USIBISHE ukweli ndiyo huo! Rasmi mwishoni mwa wikiendi hii, Simba ilimalizana na straika Msenegali, Pape N’daw kwa kusitisha mkataba wake, lakini tofauti na ilivyozoeleka…
