×

Tag: Paul Pogba

Mbappe Avunja Ukimya Kuhusu Madai ya Uchawi ya Paul Pogba, Mapya Yazuka

MSHAMBULIAJI wa Paris Saint-Germain (PSG) ya nchini Ufaransa Kylian Mbappe ameungana na kiungo wa Juventus, Paul Pogba katika sakata la...

READ MORE

Mbappe Achoka Kusikia Habari za Kurogwa Ataka Kuujua Ukweli, Amvutia Simu Pogba

KULINGANA na vyanzo vya habari vya kuaminika nchini Ufaransa Kylian Mbappe sasa ameonekana kuchukua hatua kwa kumpigia simu Paul Pogba...

READ MORE

Pogba: Wanafanya Njama Niwape Pesa, Kaka Yangu Anahusika Pia.

KUFUATIA maneno ya kaka mkubwa wa kiungo wa kati wa Ufaransa na klabu ya Juventus Paul Pogba, Mathias Pogba    siku...

READ MORE

Pogba Ahofia Kukosa Kombe la Dunia Kama Akifanyiwa Oparesheni ya Goti

KIUNGO wa Juventus, Paul Pogba, ana hofu kuwa anaweza kukosa fainali za Kombe la Dunia kama atalazimika kufanyiwa oparesheni ya...

READ MORE

Rasmi: Pogba Arejea Juventus Asaini Mkataba Mrefu Baada ya Miaka 6 na Man United

KIUNGO raia wa Ufaransa Paul Pogba amekamilisha usajili wake wa kujiunga kwa mara nyingine na miamba ya soka nchini Italia...

READ MORE

Baada ya Mkataba Kuisha, Pogba Aondoka na Sh bilioni 11 Man United

IMEFICHUKA kuwa Paul Pogba ataondoka na bonasi ya pauni milioni 3.78 (Sh bilioni 11) atakapoachana na Manchester United mara baada...

READ MORE

Wakala Maarufu Barani Ulaya Mino Raiola Yupo Katika Hali Mbaya

MAPEMA leo zimeibuka taarifa juu ya kifo cha moja kati ya mawakala maarufu wa wachezaji barani Ulaya Mino Raiola ambapo...

READ MORE

Solskjaer: Pogba Ataisaini Mkataba Man Utd

KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, amesema anaamini kuwa kiungo wake Paul Pogba atasaini mktaba mpya na timu hiyo....

READ MORE

Pogba Kuikosa Chelsea Ligi Kuu

PAUL Pogba anatarajiwa kuendelea kuwa nje kwa zaidi ya muda ambao alitarajiwa kuwa angerejea kutokana na kuwa majeruhi.   Taarifa...

READ MORE

Pogba Ampasua Kichwa Solskjaer

KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, amefunguka kuwa staa wake Paul Pogba ataendelea kuwa nje, huku beki Eric Bailly...

READ MORE

Paul Pogba Hatihati Kuivaa Crystal Palace

KIUNGO wa Manchester United, Paul Pogba amerejea katika mazoezi ya kikosi hicho baada ya kuwa nje, lakini kuna uwezekano mkubwa...

READ MORE

Pogba Ashtua Kukutwa na Corona

KIUNGO Paul Pogba amewashtua wadau wengi wa soka baada ya kubainika kuwa na Virusi vya Corona huku Ligi Kuu ya...

READ MORE

Pogba, Man U Mwisho Wao Umefika

MAISHA ya Paul Pogba ndani ya Manchester United ni kama yamefika mwisho na sasa kilichobaki ni pande hizo mbili kukubaliana...

READ MORE

Moyes: Man Utd Msimuuze Pogba Tafadhali

KOCHA wa zamani wa Manchester United, David Moyes ameishauri klabu hiyo kutouza mastaa wake na kufanya wanavyoweza kuendelea kubaki na...

READ MORE

Man U Majanga, Wachezaji 7 Kuikosa Leicester City leo

MAN United inauwezekano wa kukosa wachezaji sana katika mchezo wao wa leo dhidi ya Leicester City hiyo ni baada ya...

READ MORE

Paul Pogba Apigwa Stop kupiga Penalti

KITENDO cha Paul Pogba kukosa penalti kwenye mechi ya Ligi Kuu England dhidi ya Wolverhampton Wanderers Jumatatu iliyopita, kimezua mtafuruku...

READ MORE

POGBA ANAKULA BATA DUBAI

BAADA ya msimu wa Ligi Kuu England kumalizika, staa wa Manchester United, Paul Pogba ameamua kwenda Dubai na mchumba wake,...

READ MORE

MADRID: TUPENI POGBA TUWAPE BALE

  REAL Madrid imeamua kuchukua maamuzi ya kumuingiza sokoni winga wake, Gareth Bale mwishoni mwa msimu huu na atakuwa anapatikana...

READ MORE

Paul Pogba Anataka Bilioni 1.5 Kwa Wiki Abaki Man U

MANCHESTER United ipo tayari kuanza kufanya mazungumzo ya mkataba mpya na kiungo wake, Paul Pogba, ambapo kuna mahitaji ya mkataba...

READ MORE

REAL MADRID YAMTENGEA POGBA BILIONI 381

REAL Madrid inataka kuanza mikakati rasmi ya kumsajili staa wa Manchester United, Paul Pogba mwishoni mwa msimu huu. Hatua hiyo...

READ MORE

POGBA: NAVUTIWA SANA NA BARCELONA

MAN United ina mtihani mgumu wa kukutana na Barcelona katika Ligi ya Mabingwa Ulaya lakini kiungo wao, Paul Pogba ametoa...

READ MORE

‘TIMUA PAUL POGBA ANAWAZINGUA’

BEKI na nahodha wa zamani wa Liverpool, Jamie Carragher ambaye kwa sasa ni mchambuzi wa mchezo wa soka amemjia juu...

READ MORE

Pogba Alianzisha Tena Na Mourinho

KIUNGO wa Manchester United, Paul Pogba amelifufua tena bifu lake na kocha Jose Mourinho baada ya kuwaambia kuwa uhusiano wao...

READ MORE

UFARANSA YAIPIGA PERU, YAFUZU

TIMU ya taifa ya Ufaransa imefanikiwa kusonga Hatua ya 16 ya Kombe la Dunia ikiwa na mchezo mmoja mkononi baada...

READ MORE

Mourinho: Pogba Levo ya Messi, Neymar

KOCHA wa Manchester United, Jose Mourinho amesema kiungo wake, Paul Pogba yupo katika daraja moja na Lionel Messi na Neymar....

READ MORE

Sikia Busara za Paul Pogba

PAUL Pogba bado anasubiriwa kuanza kufanya vitu vyake vilivyoifanya Manchester United ivunje rekodi ya dunia ili kumnasa msimu uliopita. Katika...

READ MORE