Penny: Lulu Ametufunza Kitu Kwenye Mapenzi!
MTANGAZAJI wa Kipindi cha Harusi Yetu kinachorushwa kupitia Televisheni ya Magic Swahili, Penniel Mungilwa 'Penny' amewaasa watu wajifunze kupitia muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Akizungumza na Star Mix Penny alisema kuwa,…
