MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Barcelona, Oscar Grau ametoa kauli ambayo inaweza kuwatikisa Wanaliverpool baada ya kusema kuwa wanajipanga kurejesha...