Watumiaji Wa Mitandao Wamshambulia Raisi Wa Burundi
Watumiaji wa mtandao wa Twitter wameunga mkono hatua ya wasichana watatu wa shule kwa kuzichora na kuharibu picha za rais wa Burundi Pierre Nkurunziza wakiiga mfano wao.
Picha zilizoharibiwa za kiongozi huyo…
