Kwa Teknolojia Hii, Hawa Jamaa ni Tishio Bongo – Video
CHUO cha Power Computers Training Centre kinachomilikiwa na PCTL kilichopo katikati ya Jiji la Dar es Salaam makutano ya Barabara ya Morogoro na India ambacho kina miaka 14 kikitoa taaluma mbalimbali zikiwemo ICT na uhasibu…
