#ProfessionalGathering Jumapili… Kukuza Uchumi Wako Kwenye Kipindi Hiki cha JPM
Isikupite #ProfessionalGathering Jumapili hii... Jinsi ya kukuza uchumi wako kwenye kipindi hiki cha uongozi wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
Mhamasishaji Eric Shigongo kuanika mbinu zitakazokusaidia kutanua biashara na kujenga…
