Q Chillah Kumwanika Mpenzi Wake
Na GABRIEL NG`OSHA| GAZETI LA AMANI| SHOWBIZ XTRA
MSANII wa Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ anayetamba na Wimbo wa Koku na Sungura, Aprili 30, mwaka huu amejipanga kumtambulisha rasmi mpenzi wake anayefahamika kwa jina…
