×

Tag: queen darleen

Queen Darleen Afunguka Baada ya Kuachana na Ndoa Yake “Acha Wanione Mjinga”

  Queen Darleen; ni msanii wa Bongo Fleva aliye chini ya Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) ya Diamond Platnumz...

READ MORE

Makeke Ujio Mpya wa Queen Darleen

MEGASTAA wa muziki barani Afrika, Nasibu Abdul almaarufu Diamond Platnumz ambaye pia ni Mkurugenzi wa Lebo ya Wasafii Classic Baby...

READ MORE

Queen Darleen: Nungunungu au Karunguyeye?

Mwimbaji Queen Darleen anasema ameshindwa kujipa jina la mnyama kutokana yale makubwa na yanayosifika yameshachukuliwa na kama kutakuwa na ulazima...

READ MORE

Mume wa Queen Darleen Atoboa Siri ya Mke Mkubwa

ISIHACK ambaye ni mume wa msanii Queen Darleen, ametoboa siri kwamba mke wake mkubwa anayetambulika kwa jina la #Sabra ni...

READ MORE

Esma, Queen Darleen Kama Zamani

DAR: Zile taarifa zilizosambaa hivi karibuni mitandoani kuwa ndugu wawili wanaounganishwa na nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’...

READ MORE

Queen Darleen Ajifungua Mtoto wa Kike

Msanii wa Bongo Fleva, Queen Darleen, na mumewe, Isihaka, wamepata mtoto wa kike ambaye wamempa jina la Balqis Isihaka. Kupitia...

READ MORE

Queen Darleen na Mke Mwenza Gari Limewaka

MSANII wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa ni mke wa pili wa Isihaka Mtoro, mwanadada ‘Queen Darleen’ ameanza kuvaana na...

READ MORE

Queen Darleen Afunguka Bifu Lake na Esma

Baada ya kuwepo kwa madai mazito kwamba, wapo kwenye bifu zito, hatimaye dada wa mwanamuziki mkubwa wa Bongo Fleva, Nasibu...

READ MORE

Miguu ya Queen Darleen Gumzo

Mwanamuziki wa Bongo Fleva ambaye pia ni dada wa staa wa muziki nchini, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’...

READ MORE

Queen Darleen Hayo Mambo ya Chumbani Vepe!

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ hivi karibuni aliamua kuanika mambo ya chumbani hadharani na kusababisha watu kuhoji...

READ MORE

Darleen Siyo Mke wa Kuachika

  FIRST lady wa Wasafi Classic Baby (WCB), Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ ambaye juzikati alifunga pingu za maisha na mfanyabiashara...

READ MORE

Maisha ya Queen Darleen Kufuru

  BAADA ya kuolewa mke wa pili na jamaa anayetajwa kuwa tajiri maarufu jijini Dar aitwaye Isihaka Mtoro, maisha ya...

READ MORE

Queen Darleen: Mke wa Poli Naye Mke

FIRST Lady wa Wasafi Classic Baby (WCB), Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ amefunguka kuwa haoni tatizo kuolewa mke wa pili na...

READ MORE

Waliomuita Darleen Mgumu Wameumbuka

FIRST lady wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ amesema, waliokuwa wakimuita mgumu, sasa wameumbuka baada...

READ MORE

Ndoa ya Queen Darleen Ilivyoacha Maswali

 BAADA ya dada wa msanii nguli nchini; Nasibu Abdul ‘Diamond’, Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ (34) kuolewa kwa siri, Risasi Mchanganyiko...

READ MORE

Darleen: Tuna Uhusiano na Lukamba Lakini…

WIKI chache baada ya kuvuja kwa chati za mpiga picha wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Lukamba na dada wa msanii huyo,...

READ MORE

Queen Darleen amfanyia kufuru Mbosso

DADA wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ hivi karibuni alimfanyia kufuru msanii mwenzake, Yusuf...

READ MORE

VIDEOMPYA:Harmonize, Queen Darleen ‘Mbali’

Queen Darleen, Harmonize toka lebo ya WCB wameileta video ya pamoja inaitwa ‘Mbali‘   Video imeongozwa na Kenny toka Zoom...

READ MORE

VIDEOMPYA:Queen Darleen Awataja Wema, Zari, Uwoya, Ndani Ya Muhogo

  Queen Darleen toka WCB ameileta video ya wimbo wake mpya, ‘Muhogo’ kwa mara ya kwanza kwa mwaka 2019.  ...

READ MORE

Darleen: Nilikuwa Chauroho Ile Mbaya

IMEFUNUKA! Ndivyo ambavyo un­aweza kusema baada ya mwanamuziki kuto­ka Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ ku­funguka...

READ MORE

QUEEN DARLEEN: MAMA YANGU KAFUNGWA CHINA?

MSHANGAO! First Lady wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ ameshtushwa na tetesi za mama yake...

READ MORE

SHOO YA QUENN DARLEEN USIPIME USIKU WA KUSI (PICHAZ +VIDEO)

MWANAMUZIKI anayefanya vizuri akiwa chini ya Lebo ya ‘WCB’, ‘Queen Darleen’ amefanya shoo ya aina yake katika Usiku wa Kusi...

READ MORE

BABA DIAMOND AMSAMEHE QUEEN DARLEEN

BABA mzazi wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Juma amedaiwa kulainishwa na zawadi za Sikukuu ya...

READ MORE

Queen Darleen Amwaga Machozi Msiba wa Dansa wa Alikiba – Video

MSANII wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya WCB, Queen Darleen amejikuta akimwaga machozi baada ya kuona hali ya afya ya...

READ MORE

Baba Diamond: Nikifa Mwanangu Asiguse Jeneza Langu!

DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya msanii wa Bongo Fleva, Mwajuma Abdul ‘Queen Darleen’ kumchana baba yake mzazi ambaye...

READ MORE