Mashindano ya Qur-an ya Dunia Yafanyika Diamond Jubilee, Dar (Pichaz +Video)
Abdulmjid Mujahid kutoka Yemen ameibuka mshindi wa mashindano ya kimataifa ya Qur-an yaliyozishindanisha nchi kumi ambapo mshindi amezawadiwa dola 5000 za Kimarekani huku Ubalozi wa Kuwait ukimzawadia dola 500, mshindi wa pili wa…
