Rais wa China Aifagilia TZ, Korosho, Tanzanite Vyamkuna
MAONESHO ya pili ya kimataifa ya bidhaa zinazoagizwa China yamefunguliwa leo mjini Shanghai, China. Rais Xi Jinping wa China amehutubia ufunguzi huo.
Maonesho hayo yenye kauli mbiu ya "zama mpya, kunufaika kwa pamoja na…
