Droo ya Hatua ya 16 Bora ya Uefa Yatangazwa Rasmi, Vigogo Kuumana
DROO ya hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya UEFA imetangazwa leo huku ikishuhudiwa baadhi ya miamba ya soka barani humo ikikutana mapema.
Katika Droo hiyo Mabingwa wa muda wote wa mashindano hayo klabu ya Real…
