Rashford na casemiro walikubali tizi la amorim
Wachezaji wa Manchester united Marcus Rashford (27) pamoja na Carlos Henrique 'Casemiro'( 32), wameonyesha kufurahishwa na mazoezi ya mkufunzi mpya wa klabu hiyo Ruben Amorim.
Marcus Rashford pamoja na Casemiro, walituma machapisho…
