Harmonize Avutwa Mpaka Nigeria Kwenye ‘Body Work’ Video Mpya
The Beat Boss 'Young D' amempa shavu msanii toka lebo ya WCB, Harmonize kwenye wimbo wa Body Work akiwa na Reekado Banks.
Body Work inategemewa kuwa moja kati ya wimbo utakaopatikana kwenye Ep ya The Fusion…
