LOWASSA AWAONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA TAMBWE HIZA
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amewaongoza mamia ya wakazi wa Dar es salaam kuuaga mwili wa mwanasiasa wa muda mrefu, Richard Tamilway maarufu kwa jina la ‘Tambwe Hiza’ aliyefariki…
