Trump amteua Seneta JD Vance kuwa mgombea mwenza
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amesema Seneta wa Ohio James David Vance (JD) Vance, mwenye umri wa miaka 39, ndiye chaguo lake la mgombea mwenza kuelekea uchaguzi wa mwezi Novemba.
Trump alisema kupitia ujumbe kwenye mtandao…
