BREAKING NEWS: Mwalimu Ahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa Bukoba
Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba imemhukumu kunyongwa hadi kufa mwalimu Respicius Mutazangira kwa mauaji ya aliekuwa mwanafunzi wa shule ya msingi Kibeta, Sperius Eradius. Mwalimu Heriet Gerald aliekuwa akikabiliwa na mashtaka kama hayo…
