Bil. 4 Kuboresha Miundombinu Jangwani Dar
SERIKALI kupitia Mfuko wa Barabara (Road Fund), imesema ipo tayari kupitisha kiasi cha shilingi bilioni 4 kwa ajili ya kumlipa mkandarasi atakayepatikana ili kuboresha miundombinu ya eneo la Jangwani, jijini Dar es Salaam, mara baada ya…
