Mke wa Mugabe Anayetisha Kwa Matanuzi!
JINA la Grace Mugabe (52), kwa sasa ni maarufu barani Afrika hadi nje ya bara hilo. Hii ni kwa sababu ametawala vyombo mbalimbali vya habari duniani kwa namna alivyomuingiza mumewe, aliyekuwa Rais Robert Gabriel Mugabe (93) wa Zimbabwe…
