×

Tag: Robert Mugabe

Mke wa Mugabe Anayetisha Kwa Matanuzi!

JINA la Grace Mugabe (52), kwa sasa ni maarufu barani Afrika hadi nje ya bara hilo. Hii ni kwa sababu...

READ MORE

BREAKING NEWS: MUGABE AJIUZULU URAIS ZIMBABWE

SPIKA  wa bunge la Zimbabwe, Jacob Mudenda   jioni ya leo ametangaza kuwa rais Robert Mugabe amejiuzulu. Spika huyo amesema...

READ MORE

Hivi Ndivyo Mkewe Alivyomponza Mugabe Ikulu

RAIS Robert Mugabe (93), amefikia hatua ya mwisho kuondoka madarakani kwa nguvu kutokana na kuponzwa na mke wake, Grace (52)....

READ MORE

Mugabe Kupigiwa Kura na Bunge Ya Kutokuwa Na Imani Nae

Chama cha rais wa Zimbabwe Robert Mugabe kinatarajiwa kuanza mchakato wa kupiga kura ya kutokuwa na imani nae. Afisa wa...

READ MORE

Mugabe Ahutubia Taifa, Akataa Kujiuzulu

RAIS Robert Mugabe wa Zimbabwe amekataa shinikizo la kujiuzulu akisisitiza kwamba atauongoza mkutano mkuu wa chama tawala ambao utafanyika mwezi...

READ MORE

BREAKING NEWS: MUGABE ANG’OLEWA UENYEKITI WA ZANU-PF

  Chama tawala nchini Zimbabwe, ZANU-PF, kimemtimua Rais Robert Mugabe, kwenye uenyekiti wa chama na kumteua aliyekuwa Makamu wa Rais...

READ MORE

Mugabe Adaiwa Kugoma Kula, Kuzungumza

  INASEMEKANA Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amekuwa akikataa kula na kuzungumza kwa siku kadhaa sasa akiwa amepania ‘kufa kwa...

READ MORE

ZANU-PF WAMTAKA MUGABE AJIUZULU

Matawi ya mkoani ya chama tawala huko Zimbabwe, ZANU-PF , yameungana na kumtaka rais wa nchi hiyo, Robert Mugabe, ajiuzulu....

READ MORE

Mugabe Awaambia Wanajeshi Hatajiuzulu Urais

RAIS Robert Mugabe wa  Zimbabwe ameripotiwa kukataa kuondoka madarakani licha ya kuongezeka kwa wito mbalimbali wa kumtaka ajiuzulu.   Mugabe,...

READ MORE

Mke wa Mugabe Adaiwa Kukimbilia Namibia

MBUNGE wa upinzani nchini Zimbabwe, Eddie Cross, ameiambia BBC kwamba anaamini mke wa Rais Mugabe, Grace, ametorokea Namibia. Mwanasiasa huyo...

READ MORE

Mwandishi Mmarekani Akamatwa, Adaiwa Kumtusi Rais Mugabe

    MWANDISHI wa Marekani, Martha O’Dovovan, hivi majuzi alikamatwa na kufikishwa mahakamani mwanzoni mwa mwezi huu nchini Zimbabwe kwa...

READ MORE

WANNE MAHAKAMANI KWA KUMZOMEA MKE WA RAIS MUGABE!

Watu Wanne wamefikishwa mahakamani nchini Zimbabwe kwa kosa la kumzomea mke wa rais wa nchi hiyo, Robert Mugabe, Bi Grace...

READ MORE

Mke wa Rais Mugabe Amtaka Mumewe Kumtangaza Mrithi Wake

  Mke wa Rais wa Zimabwe, Robert Mugabe, Bi. Grace Mugabe amemtaka kiongozi huyo kumtangaza mrithi wake wa urais ili...

READ MORE