Straika Mpya Yanga Atua
YANGA imemshusha nchini kimyakimya straika wa FC Lupopo, Rodrick Mutuma na watamalizana nae kwa siri sana arejee DR Congo. Mchezaji huyo raia wa Zimbabwe, ni miongoni mwa wachezaji walioko kwenye rada ya Mwinyi Zahera ambaye amepanga…
