Defoe Akubali Mtoto Bradley Kufia Mikono Mwake
SHABIKI wa Sunderland mtoto wa miaka mitano Bradly Lowery, aliomba muda utakapo timu mauti yamfike akiwa mikononi mwa Defoe. Madaktari wamethitisha kuwa muda wowote kutoka hivi sasa mtoto Brandley ataaga dunia kutokana na kuugua…
