Ronaldinho, Kaka Mbaroni Kwa ‘Pasipoti’ Feki
Mchezaji wa zamani wa Brazil Ronaldinho na kaka yake wamekamatwa wakituhumiwa kutumia hati bandia za kusafiria kuingia nchini Paraguay, mamlaka zimesema.
Polisi wa Paraguay walivamia hoteli jijini Asuncion ambako mshindi huyo…
