×

Tag: ruge

Barnaba: Kifo Cha Ruge Kimenirudisha Nyuma!

UNAPOWAZUNGUMZIA wanamuziki wenye tungo nzuri na wanaojua kutumia vyombo vya muziki Bongo, kamwe huwezi kulitaja jina la kijana ambaye aliibuliwa...

READ MORE

Siyo Wasanii Ila Ndio Wenye Bongo Fleva Yao!

KWA sasa muziki wa Bongo Fleva umeshamiri sana, umevuka mipaka ya nchi, bara na unasikilizwa duniani kote.   Lakini hadi...

READ MORE

Nandy Atoa Siri ya Machozi Kaburini kwa Ruge

JUZIKATI Faustina Charles Mfinanga alijikuta akishindwa kujizuia na kumwaga machozi kaburini kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds...

READ MORE

BARNABA: Muziki Siyo Ajira Rasmi, Wasanii Tunatumikishwa – Video

MSANII wa Bongo Fleva, Elias Barnaba maarufu kama Barnaba Boy amesema mpaka sasa tasnia ya muziki nchini haija rasimishwa kuwa...

READ MORE

RUGE, MENGI WALIVYOKUTANA NA SOMO LA MAISHA YAO DUNIANI!

NI usiku mnene, nipo kwenye mkutano ambao sijui unahusiana na nini. Licha ya kuwa na mwanga hafifu katika ukumbi, nawaona...

READ MORE

Nandy Afungukia Wosia Alioachiwa na Ruge, Familia Yatoa Neno!

Leo Mei 1, 2019, ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media...

READ MORE

DUDU BAYA AIANGUKIA FAMILIA YA RUGE MUTAHABA- VIDEO

MSANII wa Bongo Fleva, Dudu Baya ameipigia magoti familia ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji, Ruge Mutahaba akiomba radhi...

READ MORE

RAY C ATOA SABABU KUTOMZIKA RUGE

VUNJA ukimya! Sexy lady wa Bongo Fleva, Rehema Yusuf Chalamila ‘Ray C’ ametaja sababu ya kutomzika Mkurugenzi wa Vipindi na...

READ MORE

VIFO VYA RUGE, KIBONDE FUNZO KUBWA

DAR ES SALAAM: FUNZO kubwa! Ndiyo kauli iliyosikika ka­tika vinywa vya wengi, kuelezea vifo vya Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji...

READ MORE

SIRI YAFICHUKA KILIO CHA DIMPOZI

SIRI imefichuka juu ya kilio kizito cha staa wa Bongo Fleva, Faraja Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ alipojikuta akilia kwa kunung’unika wakati...

READ MORE

RUGE MWISHO WA ENZI! BUKOBA YALOWA MACHOZI, SIMANZI YATANDA KILA KONA

BUKOBA: MWISHO wa enzi! Safari ya maisha ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba...

READ MORE

Dada Aliyetoka Njombe Hadi Bukoba Kumzika Ruge, Afunguka! – Video

Kauli ya kwamba marehemu, Ruge Mutahaba alikuwa kipenzi cha watu imezidi kujidhihirisha zaidi kwenye msiba wake kwani watu kutoka maeneo...

READ MORE

HATIMAYE RUGE AZIKWA KISHUJAA BUKOBA – PICHAZ

HATIMAYE mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba umezikwa Machi 4, 2019 kishujaa nyumbani...

READ MORE

YANAYOJIRI GYMKHANA BUKOBA KWENYE MAZISHI YA RUGE – PICHAZ

MWILI wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, marehemu Ruge Mutahaba umeagwa katika ibada maalum iliyofanyika kwenye...

READ MORE

MWILI WA RUGE WAFIKISHWA GYMKHANA KUAGWA- PICHAZ

MWILI wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba tayari umefika katika Viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba...

READ MORE

MSAMI AELEZEA RUGE ALIVYOMTOA KWENYE WIZI

MWANAMUZIKI wa Kizazi Kipya, Msami Giovan ‘Msami’ amekiri kuwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Marehemu...

READ MORE

KUTOKA BUKOBA: MAANDALIZI YA KUMPOKEA RUGE YAMEKAMILIKA

BAADA wakazi wa Dar na viunga vyake kuupokea na kuuaga mwili wa mpambanaji, ‘Shujaa Muongoza Njia’ marehemu Ruge Mutahaba, mwili...

READ MORE

HIZI NDIZO SIKU 180 ZA MATESO YA RUGE

DAR ES SALAAM: Wakati mwili wake ukiwasili nchini leo ukitokea nchini Afrika Kusini, bado wingu jeusi limetanda nchi nzima kufuatia...

READ MORE

Makonda Akimuaga Ruge: “Niliomba Familia Iniondoe Kwenye Ratiba – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amesema kwamba kutokana na uchungu alioupata wa kuondokewa na ‘kaka’ yake...

READ MORE

Barnaba Aanguka Akimuaga Ruge – Video

MSANIO wa kuzazi kipya Barnaba amesababisha vilio kutawala baada ya kushindwa kumalizia hotuba yake huku akiomba afunguliwe jeneza kumuona baba...

READ MORE

Rais MAGUFULI Amuaga RUGE kwa Mara ya Mwisho (Picha +Video)

RAIS  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli ameungana na viongozi mbalimbali wa serikali na maelfu ya wakazi...

READ MORE

Breaking: Diamond Awasili Karimjee Kumuaga Ruge – Video

MSANII wa WCB, Diamond Platnumz leo Machi 2, 2019 amefika katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, kuungana na...

READ MORE

NANDY AMWAGA MACHOZI AKIMWIMBIA RUGE- Video

MSANII wa Bongo Fleva, Nandy ameshindwa kabisa kuendelea kuimba wimbo wa Angel Benard, Nikumbushe ambao Nandy aliufanya Cover.   Wimbo...

READ MORE

HARMONIZE AWASILI KARIMJEE KUMUAGA RUGE

Msanii kutoka Lebo ya WCB, amefika katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam kuungana na waombolezaji kuaga mwili wa...

READ MORE

Kusaga Afunguka Alichoambiwa na Ruge Kabla ya Kifo – Video

MKURUGENZI Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga, ameeleza kuwa alikutana na Ruge miaka 25 iliyopita wakati akifanya kazi za...

READ MORE

Familia Yawasamehe Wote Waliomkosea Ruge – Video

FAMILIA ya marehemu Ruge Mutahaba imesema imewasamehe watu wote waliomkosea au kutoelewana na ndugu yao wakati akiwa hai kwani ni...

READ MORE

Magufuli, Majaliwa, Kikwete Walivyomuaga RUGE, Karimjee – Video

RAIS John Magufuli leo alikuwa kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam  akiwa ameambatana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kwa ajili...

READ MORE

Ratiba Rasmi ya Kuaga Mwili wa Ruge, Dar

MWILI wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba umewasili nchini jana mchana,  Machi 1,...

READ MORE

RUGE KUAGWA VIWANJA VYA GYMKANA BUKOBA

Mkuu wa Mkoa Kagera, Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti amesema mwili wa Ruge Mutahaba utaagwa katika Viwanja vya Gyhmkana ndani...

READ MORE

BREAKING: Dudu Baya Aachiwa kwa Dhamana

JESHI la Polisi Mkoa wa Kinondoni, limemuachia kwa dhamana msanii Godfrey Tumaini (Dudu Baya) baada ya kumshilikia kwa saa kadhaa....

READ MORE

KUTOKA BUKOBA: HILI NDO KABURI ATAKAMOZIKWA RUGE MUTAHABA

MAANDALIZI ya kumzika marehemu Ruge Mutahaba katika kijiji cha Kiziru Wilaya ya Bukoba yamepamba moto na ujenzi wa kaburi umeanza...

READ MORE

JPM ATOA NDEGE YA SERIKALI KUPELEKA MWILI WA RUGE BUKOBA

Rais Dkt Magufuli ametoa ndege ya Serikali kwa ajili ya kuusafirisha mwili wa marehemu Ruge Mutahaba na waombolezaji kwenda nyumbani kwao...

READ MORE

MRISHO MPOTO AMUITA DIAMOND AMZIKE RUGE

MSANII wa muziki wa asili nchini Tanzania, Mrisho Mpoto, maarufu kama ‘Mjomba’ amevunja ukimya na kumtumia ujumbe wa wazi msanii...

READ MORE

Hili Ndo Kaburi Atakamozikwa Ruge Mutahaba

MAANDALIZI ya kumzika marehemu Ruge Mutahaba katika kijiji cha Kiziru Wilaya ya Bukoba yamepamba moto na ujenzi wa kaburi umeanza...

READ MORE

MJADALA HOT: MSANII KUBISHANA NA WAZIRI NI SAHIHI?

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe, jana aliliamuru Jeshi la Polisi na Baraza la Sanaa la...

READ MORE

JK Aungana na Waombolezaji Kumlilia Ruge – VIDEO

Rais Mstaafu Dr. Jakaya Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete leo wamefika nyumbani kwa Prof. Mutahaba ambaye ni baba...

READ MORE

LOWASSA AUNGANA NA WAOMBOLEZAJI MSIBA WA RUGE

WAZIRI Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa na mkewe Mama Regina Lowassa leo asubuhi wamefika...

READ MORE

HATIMAYE DUDU BAYA ANASWA NA POLISI

KAMANDA wa Polisi Kinondoni, Mussa Taibu amesema msanii, Godfrey Tumaini ‘Dudu Baya’ anashikiliwa na Jeshi la Polisi katika Kituo cha...

READ MORE

KALA JEREMIAH: Pengo la Ruge Haliwezi Kuzibika Kabisa – Video

MWANA Hip Hop nguli Bongo, Kala Jeremiah, amesema kamwe pengo la aliyekuwa Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba haliwezi...

READ MORE

Maneno Mazito ya MAMA SALMA KIKWETE Msibani kwa RUGE – Video

  MKE wa Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mama Salma Kikwete, jana aliwasili msibani nyumbani kwa Baba mzazi wa...

READ MORE