Msuva: Simba na Yanga Zinanitaka, Aahidi Kuweka Mambo Hadharani
KIUNGO mshambuliaji wa Wydad Casablanca, Mtanzania Simon Msuva amekiri kufuatwa na kufanya mazungumzo na timu kongwe za Simba na Yanga kwa ajili ya kumsajili kuelekea msimu ujao.
Kauli hiyo aliitoa juzi kwenye Uwanja wa…
