Kiwanda cha Magereza Arusha Chateketea kwa Moto
Kiwanda cha Samani cha Jeshi la Magereza jijini Arusha kimeteketea moto usiku wa kuamkia leo na kusababisha hasara kubwa kutokana na mashine mbalimbali pamoja na nyaraka mbalimbali kuungua.
Mara baada ya tukio hilo kutokea,…
