×

Tag: Shilole

Msanii Shilole Alipuka Gharama ya Mwili Wake, Atoa Elimu Kwa Mastaa

MWIGIZAJI na msanii mkali anapokuwa mbele ya kamera, Zuwena Mohammed ‘Shilole ‘ ameamua kuwahamasisha mastaa na watu mbalimbali kuepuka gharama...

READ MORE

Shilole Amlilia Rais Samia Ataka Sheria Mpya Mauaji ya Wanawake

SHILOLE au Shishi Baby; ni mwanamama anayefanya Bongo Fleva na mjasiriamali ambaye kuhusu kukithiri kwa mauaji ya wapenzi hasa wanawake,...

READ MORE

Rommy Ashindwa Kumnunulia Gari Shilole Valentine’s Day

KATIKA msimu wa Siku ya Wapendanao (Valentine’s Day) ambayo iliadhimishwa juzi Jumatatu, Februari 14, 2022, mume wa mwanamama Shilole, Rommy...

READ MORE

Nuh: Sijawahi Kumchukia Shilole

“Nipe-leke kwa mganga na mimi nataka wanga… Maana mapenzi yamenikoroga kinoma… Anichanje chale mwili mzima… Nisimkumbe hata jina… Yule gaidi...

READ MORE

Hatimaye Nuh Mziwanda Afuta Tattoo ya Shilole

ALIYEWAHI kuwa mpenzi wa mwanamuziki na mjasiriamali Zuwena Yusuf Mohammed maarufu kama Shilole, msanii Nuh Mziwanda hatimaye amefuta tattoo aliyokuwa...

READ MORE

Shilole Kwenye Skendo ya Utapeli

Mwanamama Shilole amekwaa skendo ya utapeli na kulazimika kuwajuza mashabiki wake wote kuwa hahusiki na akaunti yoyote katika Mtandao wa...

READ MORE

Shilole Kwenye Skendo ya Utapeli

Mwanamama Shilole amekwaa skendo ya utapeli na kulazimika kuwajuza mashabiki wake wote kuwa hahusiki na akaunti yoyote katika Mtandao wa...

READ MORE

Ugomvi wa Kiba, Shilole Wasambaa Kama Moto wa kifuu

TASNIA ya Bongo Fleva inazidi kupasuka kadiri muda unavyosonga, kisa ni ugomvi wa wasanii King Kiba na Shilole ambao umeendelea...

READ MORE

Gigy Money Anunua Ugomvi wa Kiba na Shilole

Jambo linazidi kuwa jambo kwani lile bifu la kukata na shoka la wasanii wa Bongo Fleva, King Kiba na Shilole...

READ MORE

Shilole, Alikiba Kimeumana! Una Kiburi cha Kishamba, Diamond Amekugaragaza

KIMEUMANA… Hivyo ndivyo unavyoweza kusema! ni baada ya Supastaa wa Bongo Fleva, Alikiba kudai kwamba siku ya uzinduzi wa Albamu...

READ MORE

Shilole, Esha Kimeumana

MSANII wa muziki wa Bongo Flava na mmiliki wa mgahawa wa Shishi Food, Shilole amedai kwamba hawezi kujibizana na mtu...

READ MORE

Shilole Sasa ni Bosi Aliyeajiri Wengi

MPENZI msomaji, natumai umzima wa afya na unaendelea kupambania mkate wako wa kila siku. Wiki iliyopita tuliona namna Shishi Baby alivyoteseka...

READ MORE

Mapishi ya Shilole Yawateka Wabunge

MSANII wa Bongofleva na mjasiriamali katika fani ya mapishi, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amezidi kutusua baada ya kuwateka wabunge kwa mapishi...

READ MORE

Shilole Kumburuza Nuh Mziwanda Kortini

KIKI anayotumia Msanii wa Bongofleva, Nurdin Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kwa kumhusisha msanii mwenzake ambaye pia alikuwa mpenzi wake, Zuwena Mohammed...

READ MORE

Shilole: BASATA ‘Wajiangalie’

Kufuatia Baraza la Sanaa la Taifa BASATA kuweka utaratibu na sheria mpya kuhusu utoaji wa nyimbo za wasanii lazima zipitie...

READ MORE

Mama Dangote Amuwakia Shilole “Usirudie Tena”

IKIWA ni siku moja baada ya msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kumchukua dada aliyedai kuwa ni shabiki wa...

READ MORE

Kivazi cha Shilole Chaibua Shangwe Fainali ya BSS -(Picha + Video)

MSANII wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed, almaarufu kama Shilole, amepiga shoo kwenye fainali ya BSS kwa msimu huu wa 11...

READ MORE

Shilole: Hapa Nimetulia Tulii

MSANII wa Bongo Fleva ambaye pia ni mjasiriamali Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amesema kwa sasa ametulia tuli kwenye penzi lake...

READ MORE

Shilole: Nimetulia Tuli Kwa Rommy3D

    MSANII wa Bongo Fleva ambaye pia ni mjasiriamali Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amesema kwa sasa ametulia tuli kwenye...

READ MORE

Shilole Afunguka Sababu ya Kuzirai Akivalishwa Pete

MSANII wa Bongo Fleva na mjasiriamali maarufu, Zuwena Mohammed ‘Shilole’,  amenyoosha maelezo kufuatia ‘surprise‘ aliyofanyiwa kwa kuvalishwa pete ya uchumba...

READ MORE

Shilole Aanika Ndinga Yake Mpya “Sijahongwa” – Video

MSANII wa Bongo Fleva na Mjasiriamali, Zuweza Mohammed maarufu kwa jina la Shilole ama Shishi Baby ameonyesha ndinga yake mpya...

READ MORE

Irene Paul Humwambii Kitu kwa Shilole

STAA wa filamu za kibongo, Irene Poul amewakata vilimi mastaa wa kike wa Bongo kwa kuwaambia kuwa hakuna staa mkubwa...

READ MORE

Ndoa ya Shilole Barazani

MPIGA picha maarufu wa mastaa mbalimbali Issa Juma ‘ Rommy 3D’ ambaye kwa sasa ndio mpiga picha binafsi wa mjasiriamali...

READ MORE

Uchebe: Sitaki Kubishana Na Shilole

ALIYEKUWA mume wa mwanamuziki wa Bongo Fleva na mjasiriamali, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Ashraf Uchebe, amefunguka kuwa, hataki kubishana na mwanamke...

READ MORE

Shilole: Nina Ujauzito

USIKU wa jana katika hafla ya mama-kijacho, Aunty Ezekiel, muigizaji wa filamu na mjasirimali Shilole amefunguka kuwa na yeye ni...

READ MORE

Shilole, Uchebe Hapatoshi

BAADA ya penzi lao kufi kia ukingoni kwa maneno mengi, mwanamama anayekiwasha kwenye Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ na aliyekuwa...

READ MORE

Shilole Kumuandika Uchebe Kwenye Kitabu Chake

SHILOLE  kumuandika Uchebe?  Hili ndilo linaweza likawa swali kubwa kwa watu wengi baada ya msanii huyo kutangaza kufikiria kuachia kitabu...

READ MORE

Uchebe Amkataa Shilole ‘Live’

Aliyekuwa mume wa mwanamuziki na mjasiriamali maarufu Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’, Ashraf Uchebe amefunguka kumkataa mwanamama huyo.   Akizungumzia ishu...

READ MORE

Shilole, Mume wa Mtu Utamu Kolea!

  LICHA ya staa wa Bongo Fleva ambaye pia ni mjasiriamali, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kutotaka kuzungumzia uhusiano wake na mume...

READ MORE

Shilole Avunja Ukimya Kupora Mume wa Mtu

MAMBO ni Moto! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya hivi karibuni, msanii wa Bongo Fleva ambaye pia ni mjasiriamali, Zuwena...

READ MORE

Amber Lulu Amchana Uchebe, Asema ‘Muulizeni Shilole’

MSANII wa Bongo Fleva, Amber Lulu, amevunja ukimya na kuhusu stori zinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii kwamba ana mahusiano ya...

READ MORE

Uchebe: Nimempa Shilole Talaka Tatu, Akae Eda

FUNDI gereji na mfanyabiashara Uchebe amefunguka kinachondelea baada ya kuvunjika kwa ndoa yake na aliyekuwa mkewe, msanii Shilole, ambapo amesema...

READ MORE

Shilole: Ndoa Siyo Jela, Ukishindwa Unaondoka Tu

MWANAMUZIKI na mjasiriamali Zuwena Mohamed ‘Shilole’, ikiwa ni miezi michache baada ya kupitia mgogoro na mumewe Ashraf Uchebe, amefunguka kuwa,...

READ MORE

Shilole Ayapa Kisogo Mapenzi!

Msanii na mmiliki wa Shishi Food anayefanya poa kwenye miondoko ya mduara Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa, kwa sasa...

READ MORE

Uchebe Kortini kwa Kumpa Vipigo Shilole

ASHRAFU GEUZA  maarufu ‘Uchebe’,  amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam akikabiliwa na kosa la kumjeruhi...

READ MORE

Uchebe Afunguka Kurudiana na Shilole

l MUME wa msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Ashraf Uchebe amefanya mahojiano maalum (exclusive) na IJUMAA WIKIENDA, ambapo...

READ MORE

Shilole: Nimemalizana na Uchebe, Nikipata Mume Naolewa

MSANII wa Bongo Fleva na mjasiriamali, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ au ‘Shishibaby’ ameweka bayana kuhusu alivyomsaidia aliyekuwa mume wake, Uchebe ,...

READ MORE

Shilole: Ray Alikuwa Mteja Wangu, Nilimwambia Mi’ Mzuri Kuliko Uwoya

STAA wa Bongo Fleva na mjasiriamali, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ au ‘Shishibaby’ ametoboa siri namna ambavyo alisaidiwa na msanii wa Bongo...

READ MORE

Shilole: Uchebe Amenidunda Mara 26, Mpaka Mbwa Akaamka

STAA wa Bongo Fleva na mjasiriamali, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ au ‘Shishibaby’ ameamua kuvunja ukimya na kufunguka alivyokuwa akipigwa na kunyanyaswa...

READ MORE

Shilole: Simjui Baba Yangu, Nilikuwa na Ndoto ya Urubani

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva na mjasiriamali, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ au ‘Shishibaby’ ameamua kuvunja ukimya na kuanika kwamba tangu akiwa mdogo...

READ MORE