×

Tag: Shilole

BROKEN ENGLISH YA SHILOLE KWA RAIS JPM NI ADHABU?

JUZIKATI niliona video ya msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ akimkaribisha Rais John Pombe Magufuli katika mgahawa...

READ MORE

Mobeto, Dullvan, Barnaba Wateuliwa Kuwa Mabalozi – VIDEO

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewateua Mwanamitindo Maarufu Bongo, Hamisa Mobeto, Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Barnaba pamoja na Mchekeshaji maarufu,...

READ MORE

SHILOLE, DOGO ASLAY WASAINI MKATABA WA TTCL NA NYUMBANI KUMENOGA

    SHIRIKA  la Mawasiliano Tanzania, TTCL jana limetiliana saini na msanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva) Zuena Mohamed...

READ MORE

SHILOLE AWAPA SOMO WEMA SEPETU, UWOYA

BAADA ya kuanika mjengo wake aliojenga maeneo ya Majohe, Dar, staa wa muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameibuka...

READ MORE

SHILOLE AANIKA MJENGO WAKE

MSANII wa Bongo Fleva, Zuwema Mohammed, “Shilole” ameamua kutuonyesha mjengo wake ambao uko kwenye hatua za finishing ili aweze kuhamia...

READ MORE

DC JOKATE, Shilole Wakicheza Katika Siku ya Vijana -VIDEO

 Kila ifikapo Agosti 12, Dunia inaadhimisha siku ya vijana Duniani, ambapo Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo ameshiriki...

READ MORE

SHILOLE HAKUSOMA, ALITELEKEZWA NA WATOTO; LEO NI STAA BONGO!

  ANAITWA Zuwena Mohamed ‘Shilole’, amezaliwa katika familia ya kimasikini huko Igunga, Tabora. Ni mtoto wa mwisho kati ya watoto...

READ MORE

UCHEBE: OLE WAKE NIMKUTE MTU NA SHILOLE

CHIMBA mkwara! Mume wa mwanamuziki wa miondoko ya mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Ashrafu Uchebe ametangaza vita kwa mwanaume yeyote...

READ MORE

Shilole – Mchaka Mchaka (Oficial Video)

MSANII wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameachia Video ya Wimbo wake mpya ambao ameupa jina la Mchaka Mchaka, ambao...

READ MORE

Shilole Amchamba Muna “Wewe Mwanamke Utapata Tabu Sana”

MSANII wa muziki wa mduara, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amemvaa msanii mwenzake wa Bongo Movies, Rose Alphonce ‘Muna Love’ kwa kuita...

READ MORE

SHILOLE AAHIDI KUMFUATA MZEE YUSUF

YOTE yanawezekana ukiweka nia! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kauli aliyoitoa msanii wa muziki, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kuwa anatarajia kuachana...

READ MORE

TANZIA: Mzazi Mwenziye na Shilole Afariki Dunia

MZAZI mwenziye na  Staa wa miondoko ya mduara, Zuwena Mohammed , aliyejulikana kwa jina la Makala Elia Joseph, amefariki dunia...

READ MORE

Shilole Atokwa na Machozi Kisa Tuzo ya Aunt Ezekiel

  SIKU chache baada ya msanii wa Bongo Movie, Aunty Ezekiel kumtunuku Tuzo ya Mama Bora ndani ya Ukumbi wa...

READ MORE

SHILOLE MJAMZITO?

STAA anayefanya vizuri kwenye miondoko ya mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefungukia madai ya yeye kuwa ni mjamzito na kusema...

READ MORE

Shilole Atoa Sharti Zito la Kifo Chake!

MWANAMUZIKI maarufu, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ametoa sharti zito kuwa, siku akifa hatataka mwili wake ufanyiwe mbwembwe kwenye Viwanja vya Leaders...

READ MORE

Shilole Amlilia Masogange, Adai Juzi tu Alimpelekea Oda ya Chakula – Video

Msanii wa filamu na muziki, Shilole, amesema ilikuwa ngumu kwake kuamini kwa mara ya kwanza pale alipopokea taarifa za kifo...

READ MORE

Shilole Afunguka Kujiachia Kihasara

  BAADA YA video yake kusambaa akiwa anakata mauno kihasarahasara stejini na watu kuhoji inakuwaje mke wa mtu kufanya hivyo,...

READ MORE

UCHEBE HAJAWAHI KUMZIBUA SHILOLE

MUME wa staa wa Mduara B0ng , Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ambaye alifunga naye ndoa miezi kadhaa iliyopita, Ashiraf Uchebe amefunguka...

READ MORE

Shilole Ahukumiwa kwa Utapeli, Mahakama Kukamata Mali Zake! – Video

MSANII wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amehukumiwa kulipa faini ya Tsh. Milioni 14 na mahakama ya Mwanzo Wilaya ya...

READ MORE

SHILOLE ASAKA MTOTO

STAA wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameeleza kuwa baada ya kuingia kwenye ndoa miezi kadhaa iliyopita kwa sasa yeye...

READ MORE

Mume wa Shilole Aukana Usangoma

MUME wa mwanamuziki Zuwena Mohammed ‘Shilole’ Ashrafu Uchebe amekana kuwa mganga (Sangoma) wa kutumia vitabu na kuweka wazi kuwa kazi...

READ MORE

Shilole Ataka Kuchoma Gauni, Kisa… Bofya Hapa

Mwanamuziki wa wa miondoko ya Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema gauni alilovaa kwenye uzinduzi wa kumtambulisha mwanamuziki Maromboso ‘Mbosso’ uliofanyika...

READ MORE

Shilole Ampiga Stop Dada wa Kazi kwa Uchebe

STAA wa filamu na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema kuwa tangu amekuwa mke halali wa Ashraf Uchebe, haruhusu dada...

READ MORE

Sherehe ya Shilole Yasengenywa

  LICHA ya mbwembwe nyingi kwenye sherehe ya harusi ya Mwanamuziki Zuwena Mohamed ‘Shilole’ iliyofanyika wikiendi iliyopita kwenye Ukumbi wa...

READ MORE

SHILOLE: Hata ‘Kicheche’ Huwa Anaolewa – Video

MSANII wa muziki wa mduara, Zuwena Mohammed maarufu kwa jina la Shilole ametoa kauli ngumu wakati wa sherehe yake iliyofanyika...

READ MORE

Jokate: Kufanikiwa Sio Lazima Uwe na Digrii

MODEL maarufu wa Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amefunguka na kutoa nasaha kwa vijana huku akiwataka kujishughulisha kwa bidii ili kufikia...

READ MORE

Shilole: Pete Aliyonivisha Uchebe Imetoka Marekani

MSANII wa muziki wa Mduara Bongo, Zuwena Mohammed, ‘Shilole’ au Shishi Baby mefunguka kuwa pete ya ndoa aliyovishwa na mume...

READ MORE

SHILAWADU Walivyotibua Harusi ya Shilole – Video

KUFUATIA sherehe ya harusi ya msanii wa muziki Biongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ na Ashraf Uchebe iliyofanyika Hekima Garden, Mikocheni jijini...

READ MORE

Kauli ya Shilole kwa Mastaa Waliohudhuriua Harusi Yake

    Vee Money na Jux Walichokifanya, Shilole Hatasahau!

READ MORE

Shuhudia Dogo Janja, Uwoya Walichokifanya Harusi ya Shilole – Picha + Video

STAA wa Muziki wa Mduara Bongo, Zuwena Mohammed maarufu kama Shilole au Shishi Baby usiku wa kuamkia leo amefanya sherehe...

READ MORE

Harusi ya Shilole na Uchebe, Shuhudia Walivyoingia Ukumbini – Pichaz

STAA wa Muziki wa Mduara Bongo, Zuwena Mohammed maarufu kama Shilole au Shishi Bay usiku wa kuamkia leo amefanya sherehe...

READ MORE

KUFURU! Vee Money na Jux Wamwaga Minoti Harusi ya Shilole

COUPLE ya wakali wa Bongo Fleva, Juma Jux na Vanessa Mdee ‘Vee Money’ usiku wa kuamkia leo wamefanya kufuru baada...

READ MORE

LIVE: Sherehe ya Ndoa ya Shilole Usiku Huu (Pichaz na Video)

Hatimaye msanii wa Bongo Fleva, Shilole amefungua ndoa na mpenzi wake Ashraf Uchebe huko Masaki usiku wa kuamkia leo jijini...

READ MORE

Shilole, Uchebe Mnaweza Kuushangaza Ulimwengu!

KWANZA kabisa nimshukuru Mungu kwa kuweza kusherehekea vyema Sikukuu ya Krismasi, bila shaka nawe mpenzi msomaji u miongoni mwao. Huku...

READ MORE

Nuh: Mume wa Shilole Hajiamini

ALIYEKUWA mpenzi wa msanii wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, amemfungukia mume wa Shilole aliyemuoa hivi karibuni,...

READ MORE

Shilole: Sijaingia Kwenye Ndoa Kucheza Mduara

STAA wa miondoko ya mduara, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa, watu wasimfikirie ameamua kuingia kwenye ndoa kama maonyesho bali amedhamiria...

READ MORE

Shilole: Mume Wangu Hajawahi Kuoa

BAADA ya hivi karibuni kufunga ndoa na Ashraf Uchebe, msanii wa muziki, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefungukia tetesi za kuwa amemchukua...

READ MORE

Shilole Amtolea Uvivu Nuh Mziwanda

  BAADA ya habari kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii na mwanamuziki Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kuandika katika ukurasa wake kwamba...

READ MORE

Shamsa Amfunda Shilole Siri ya Ndoa

STAA wa Filamu nchini, Shamsa Ford amefungukia uamuzi wa msanii mwenzake wa Muziki, Zuwena Mohammed maarufu kama Shilole kwa kuamua...

READ MORE