Shoga; mumeo siyo kaka yako, usimuonee aibu!
Shoga, matumaini yangu kwamba hali yako ni nzuri na ulisherehekea vizuri Sikukuu ya Idd na Krismasi na sasa unajiandaa kuupokea Mwaka Mpya wa 2016.
Kama sikukuu hizo hazikuwa nzuri kwako, hebu jipange ili Mwaka Mpya nawe ufurahi kama…
