Mussa Sima: Ni Kazi Kubwa, Tumpongeze JPM kwa Kura
MGOMBEA Ubunge katika jimbo la Singida Mjini, Mussa Sima (CCM) amewataka Watanzania kumpongeza Mgombea urais wa chama hicho, Dk. John Magufuli kwa kumpatia kura za kutosha ifikapo Oktoba 28 mwaka huu kutokana na kazi kubwa aliyoifanya…
