Askari Wa FFU Waamriwa Kuondoka Ukonga (Video)
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema ameamuru Askari wa Kutuliza Ghasia (FFU) waondoke kwenye maeneo ya wananchi katika eneo lote la Ukonga kuanzia sasa na wasiwabughudhi wananchi.
Mjema amesema hayo leo Jumanne baada ya…
