Stamico Yaibuka Mshindi wa Kwanza Maonesho ya Sabasaba 2021
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeibuka kidedea kwa kuwa Mshindi wa kwanza kwenye Maonesho ya Sabasaba mwaka 2021.
Akiongea kwa furaha baada ya ushindi huo Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO Dkt Venance Mwasse amesema…
