×

Tag: Tanzia

Makonda Akimuaga Ruge: “Niliomba Familia Iniondoe Kwenye Ratiba – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amesema kwamba kutokana na uchungu alioupata wa kuondokewa na ‘kaka’ yake...

READ MORE

Familia Yawasamehe Wote Waliomkosea Ruge – Video

FAMILIA ya marehemu Ruge Mutahaba imesema imewasamehe watu wote waliomkosea au kutoelewana na ndugu yao wakati akiwa hai kwani ni...

READ MORE

MTOTO WA KIGWANGALLA AZIKWA NZEGA

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan aliongoza shughuli za mazishi ya Zulqarinain mtoto...

READ MORE

KINACHOENDELEA MSIBA WA MTOTO WA KIGWANGALLA

  MSIBA wa Zulqarinain Mtoto wa Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi...

READ MORE

MENEJA MAWASILIANO TFS AFARIKI AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI

Meneja Mawasiliano wa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS), Glory Mziray alifariki dunia jana mchana (Februari 19, 2019), wakati akizungumza...

READ MORE

Tanzia: Msanii Godzilla Afariki Dunia

TANZIA: Tasnia ya Bongo Fleva imepata pigo baada kuondokewa na Rapa maarufu nchini, Golden Jacob Mbunda ‘Godzilla‘ ambaye amefariki dunia ghafla...

READ MORE

MWILI WA MVUMBUZI WA TANZANITE WAAGWA DAR, WAPELEKWA SAME KUZIKWA

  MWILI wa Mvumbuzi wa madini ya Tanzanite, mzee Jumanne Ngoma (84) aliyefariki dunia juzi Jumatano, Januari 30, 2019, umeaswaliwa katika msikiti...

READ MORE

Tanzia: Mvumbuzi wa Tanzanite Afariki Dunia Muhimbili

TANZIA: Mvumbuzi wa Madini ya Tanzanite, Mzee Jumanne Ngoma amefariki leo Jumatano, Januari 30, 2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili...

READ MORE

Pumzika Mama Abdul, Hivi Ndivyo Alivyozikwa – VIDEO

HATIMAYE mwili wa aliyekuwa muigizaji mkongwe wa Bongo Muvi, Salome Nonge maarufu kwa jina la Mama Abdul leo Januari 28, 2019...

READ MORE

UNYAMA! Wavuvi 4 Wauawa Baharini Kikatili, Kisa Kitakuliza – VIDEO

WATU wanne ambao walikuwa wavuvi, wanadaiwa kuuawa kinyama huku wengine kadhaa wakiwa hawajulikani walipo.   Katika tukio hilo lililojiri hivi...

READ MORE

TANZIA: NGULI WA MUZIKI AFRIKA, OLIVER MTUKUDZI AFARIKI DUNIA

MKONGWE wa muziki wa Jazz Barani Afrika, Oliver Mtukudzi (66) ‘Tuku’ amefariki dunia katika Hospitali ya Avenues Clinic, Jijini Harare...

READ MORE

Mrisho Ngasa afiwa na baba yake

Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Khalfan Ngassa amepata pigo la kuondokewa na baba yake mdogo ambaye amefariki leo Jumamosi huku chanzo...

READ MORE

TANZIA: TASNIA YA MUZIKI WA BONGO YAPATA PIGO

TASNIA ya Muziki wa Bongo leo imekumbwa na msiba baada ya aliyekuwa muimbaji wa Bendi ya Mapacha Musica, Erick Kantona,...

READ MORE

Tanzia: Yanga Yapata Pigo

KLABU ya Soka ya Yanga imepata pigo baada ya kuondokewa na mchezaji wake wa zamani na Taifa Sstars, Hassan Goebles ‘Gobbos’...

READ MORE

TANZIA: BABA MZAZI WA ALIKIBA AFARIKI DUNIA

Baba mzazi wa msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba, Mzee Saleh Kiba amefariki Dunia alfajiri ya leo Januari 17, 2019...

READ MORE

Ibada ya Misa Kuwaombea Wazazi wa Shigongo Yafanyika Bupandwamhela – Pichaz

FAMILIA ya Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, leo Jumatatu, Desemba 24, 2018 imefanya ibada maalum ya...

READ MORE

MAGUFULI AAGA MWILI WA MAKAMU MKUU WA UDOM

         

READ MORE

PUMZIKA KWA AMANI IKUPA NGAO

Tunasikitika kutangaza kifo cha mwanafunzi mwenzetu wa Chuo Kikuu cha Tumaini wa Shahada ya Kwanza ya Mawasiliano ya Umma (...

READ MORE

Breaking: Msanii wa Kundi la Jagwa Music, Jack Simela Afariki

  MWANAMUZIKI  wa Mchiriku na Singeli kutoka kundi la Jagwa Music,  Jack Simela na wenzake wanne wamefariki dunia kwa ajali...

READ MORE

TANZIA: ASKOFU CHENGULA AFARIKI DUNIA

Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mbeya, Evaristo Malcus Chengula (pichani) amefariki dunia asubuhi ya leo (Novemba 21, 2018) wakati...

READ MORE

JPM, LOWASSA WAUNGANA NA FAMILIA KUAGA MWILI WA MAMA MENGI

  RAIS John Magufuli na mkewe Mama Janeth leo wameshiriki ibada ya kuuaga mwili wa aliyekuwa mke wa Dkt. Reginald Mengi, ambaye...

READ MORE

BABU WA GAMBA: “Bora Ningekufa Mimi, Nilimwandalia Urithi” – Video

Katika hali ya Majonzi, Babu wa Marehemu Isaac Gamba (92), anayeitwa Wilson Biseko Nyagabona, amezungumza kwa uchungu mkubwa juu ya...

READ MORE

TANZIA: MTANGAZAJI SAMADU HASSAN WA STAR TV AFARIKI DUNIA

MTANGAZAJI maarufu wa Habari wa Kituo cha Runinga cha Star Tv na Radio Free Africa, (Sahara Media Group) ambaye pia...

READ MORE

Ibada ya Kuaga Mwili wa Isaac Gamba, Bunda – Pichaz

MWILI wa aliyekuwa mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle (DW) nchini Ujerumani, Isaac Muyenjwa Gamba umeagwa katika ibada ya kuaga mwili huo iliyofanyika...

READ MORE

Mama wa Gamba Alichoambiwa Mara ya Mwisho na Mwanaye – Video

MAMA mzazi wa aliyekuwa mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle (DW) nchini Ujerumani, marehemu Isaac Muyenjwa Gamba, amepokea kwa masikitiko makubwa...

READ MORE

SIMANZI! Mwili wa Isaac Gamba Waagwa Mwanza, Wasafirishwa Bunda

SIMANZI NA MAJONZI! MWILI wa aliyekuwa mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle (DW) nchini Ujerumani, Isaac Muyenjwa Gamba umeagwa katika Viwanja...

READ MORE

Simanzi: Mwili wa Isaac Gamba Wawasili Mwanza – Pichaz

MWILI wa aliyekuwa mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle (DW) nchini Ujerumani, Isaac Muyenjwa Gamba umewasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza...

READ MORE

TANZIA: MUIGIZAJI WA FUTUHI AFARIKI DUNIA

HABARI zilizotufikia hivi punde zinasema mwigizaji maarufu wa Kundi la Vichekesho la FUTUHI maarufu kwajina la Karumekenge amefariki dunia jana...

READ MORE

DW Yaeleza Kifo cha Gamba Kilivyotokea Hadi Maiti Ilipokutwa – Video

NAIBU Mkuu wa DW, Mohammed Abdurahaman ameeleza kifo cha Mtangazaji Mwenzao Isack Gamba ambapo alikutwa chumbani kwake akiwa amefariki. Abdulrahaman...

READ MORE

Diwani wa Magomeni, Mmliki Shule za Green Acres, Afariki Dunia

ALIYEWAHI kuwa Diwani wa Magomeni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mmiliki wa shule za Green Acres, Julian Bujugo,  amefariki...

READ MORE

Maneno ya Mwakasege Wakati wa Kuaga Mwili wa Mwanaye

MCHUNGAJI Mwalimu Christopher Mwakasege jana Jumanne Oktoba 16, 2018 aliongoza maombi ya ibada ya kuaga mwili wa mwanaye wa pekee...

READ MORE

MWILI WA PANCHO LATINO WAAGWA DAR, KUZIKWA GAIRO

MASTAA, wadau wa sanaa ya muziki na waombolezaji mbalimbali wamejitokeza leo Ijumaa, Oktoba 12, 2018, kuaga mwili wa aliyekuwa Producer wa...

READ MORE

MRISHO GAMBO APATA PIGO

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amepatwa na pigo la kuondokewa na dada yake mpendwa Bi. Mwajuma Gambo ambaye...

READ MORE

GUNINITA KUZIKWA JUMATANO IJAYO

MWILI wa Mwenyekiti wa zamani wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita unatarajiwa kuzikwa Jumatano Septemba 19, 2018...

READ MORE

Tanzia: CCM Yapata Pigo, Guninita Afariki Dunia

ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM), Taifa na baadaye akawa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es...

READ MORE

MAZISHI ya MAMA ‘SUGU’, Mbowe, Msigwa Wanena Mazito! – Video

MAMA mzazi Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi, Bi. Desderia aliyefariki dunia katika Hospitali yaTaifa ya Muhimbili, amezikwa jana...

READ MORE

Tanzia: Mhasibu Mkuu Bugando Hospital, Ajiuwa kwa Kujirusha Gorofani

Mkurugenzi wa Fedha na Mipango katika Hospitali ya Rufaa Bugando ya jijini Mwanza, mtawa Suzan Bathlomeo amefariki dunia baada ya...

READ MORE