TBC Yasaini Mkataba Wa Bilioni 3 na TFF – Video
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) limeingia mkataba wa kurusha matangazo ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa miaka 10 wenye thamani ya shilingi Bilioni 3.54. Mkataba huo unaipa TBC pekee haki ya kurusha matangazo kwa sauti, na chombo…
