×

Tag: tembo

DC Muro Aongoza Waombolezaji Kumzika Mtoto Aliyeuawa na Tembo

MKUU wa Wilaya ya Ikungi Ndugu Jerry C. Muro leo Tarehe 27/05/2022 amewaongoza mamia ya wananchi wa kata ya Ntuntu...

READ MORE

Tembo Aliyejifungua Mapacha Apewa Ulinzi Maalum

MNYAMA aina ya Ndovu au Tembo wa Mbuga ya Kitaifa ya Samburu nchini Kenya, amejifungua ndama pacha katika kile ambacho...

READ MORE

Akamatwa na Jino la Tembo Katavi

JESHI la Polisi Mkoani Katavi, linamshikilia Jilangu Seni (33) mkazi wa kijiji cha Misisi, kwa tuhuma za kukutwa na kipande...

READ MORE

Namibia Yatangaza Kuuza Tembo kwa Mnanda

WIZARA ya mazingira ya Namibia imesema kwamba serikali ya nchi hiyo inapanga kuuza ndovu (tembo) 170 kutokana na hali mbaya...

READ MORE

Tembo Wavunja Nyumba 11, Waharibu Mali na Vyakula – Video

KUNDI la Tembo zaidi ya 10 wamevamia makazi ya watu na kuharibu nyumba, mali na vyakula vya aina mbalimbali katika...

READ MORE

Tembo Kufungwa Mikanda ya GPS ya Sh. Mil. 800

  WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamis Kigwangallah jana amezindua mpango kuwafunga mikanda ya mawasiliano ya kijiographia (GPS) Tembo ...

READ MORE

MTALII AUAWA KWA KUKANYAGWA NA TEMBO

Mtalii wa Ujerumani amefariki baada kukanyagwa na tembo alipokuwa akijaribu kumpiga picha nchini Zimbabwe. Mamlaka nchini humo imethibitisha kuwa mkasa...

READ MORE

TANZIA: MWANAMKE ALIYENYONYESHA TEMBO 230 AFARIKI DUNIA

Mhifadhi wa Tembo, Daphne Sheldrick kutoka nchini Kenya amefariki dunia kwa maradhi ya saratani akiwa na umri wa miaka 83,...

READ MORE

Mwili wa Mwanaharakati wa Tembo Kuagwa Leo, Dar

MWILI wa mwanaharakati wa kupinga ujangili na biashara haramu ya meno ya tembo wa nchi za Afrika Wayne Lotter, aliyepigwa...

READ MORE

MWANAHARAKATI WA MAUAJI YA TEMBO AUAWA

MWANAHARAKATI wa kuhifadhi Wanyamapori raia wa Afrika Kusini, Wayne Lotter, amepigwa risasi na kuuawa maeneo ya nyumbani kwake, Masaki jijini...

READ MORE