Kenyatta Atangaza Siku 7 za Maombolezo Kifo cha Magufuli – Video
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza siku saba za maomboezo nchini Kenya kufuatia Kifo cha Rais Magufuli na bendera zitapepea nusu mlingoti, Kenyatta ametoa pole pia kwa Mama Janeth na Watanzania wote kwa ujumla.
…
