Full Story Ujambazi wa Kivita Mbagala!
Miili ya majambazi hao ikiwa ndani ya gari la polisi.
Stori: Issa Mnally na Makongoro Oging’, UWAZI
DAR ES SALAAM! Simulizi ya majambazi kuvamia Benki ya Access iliyopo Mbagala ya Rangi Tatu jijini Dar, Ijumaa iliyopita bado inasikika…
