NI usiku mnene. Nipo juu ya kilele cha mlima. Nasikia kelele za wanyama, nasikia baridi kali sana. Nikaanza kushuka chini...