Nec Yatangaza Uchaguzi Mdogo Majimbo ya Konde na Ushetu
TUME ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuwepo kwa nafasi mbili za Ubunge katika majimbo ya Konde mkoa wa Kaskazini Pemba na Ushetu mkoani Shinyanga.
Akizungumza na Vyombo vya habari leo tarehe 27 Agosti 2021, Mkurugenzi wa…
